Jay Melody – Jay Melody _ 18 (Official Video) Lyrics

Jay Melody _ 18 (Official Video) Lyrics

Mr LG

Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20
Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini
Kuna mtu nampenda lakini sijiamini
Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini

Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila engo

Oh mimi
Tafadhali moyo wangu
Haya mapenzi dhahabu
Tafadhali kweli moyo wangu
Haya mapenzi yangu dhahabu

Bado najiuliza kama ana hisi Nnavyo hisi
Ila najua kua hivyo sio rahisi
Nami mugeni wa mapenzi nisije nikaitiwa police
Nikaumbuka nikachukia mapenzi
Penzi oh, penzi oh, usiniumbue mwenzio
Nikaanza na kilio, eti ndo kiinglio

Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila engo

Oh mimi
Tafadhali (we tafa) moyo wangu (we moyo)
Haya mapenzi dhahabu (tafa we)
Tafadhali kweli moyo wangu (oh moyo)
Haya mapenzi yangu (oh moyo)

Oh, lo, lo, mmh dhahabu
Oh, oh, mmh dhahabu
Once again

Lyrics sourced via LRCLIB, contributed by its community.